MSHINDI MWINGINE WA PROMOSHENI YA WAGIFTISHE APATIKANA KILIMANJARO, AKABIDHIWA PIKIPIKI.

Mwandishi Wetu. Ikiwa ni wiki kadhaa tangu kuzinduliwa kwa kampeni  ya WAJIFTISHE GIFTI JUU YA GIFTI inayoendeshwa  na Kampuni inayoongoza kwa utoaji wa huduma za Kidigitali hapa nchini Tigo Tanzania, Bwana Jeremia Shoo mkazi wa Kilimanjaro ameibuka mshindi wa pikipiki aina ya Boxer kupitia KAMPENI YA TIGO “WAGIFTISHE  GIFT JUU YA GIFT” baada ya kununua